KUTANA GARI YENYE KASI ZAIDI KULIKO NDEGE YA CONCORD DUNIANI

Brabus Mercedes Benz 900 Rocket ndio gari pekee ulimwenguni yenye kasi kali zaidi duniani ukilinganisha na  gari zote.
Gari hii inatengenezwa na kiwanda Cha BRABUS chenye makao makuu nchini ujerumani ktk mji wa Bottrop,kiwanda hiki kilianzshwa rasmi mwaka 1977.

Gari hii yenye uwezo wa kutembea umbali wa kilomita 360 kwa saa moja ktk spidi ya 360.

Injini yake ina nguvu kubwa kiasi cha Horse powe 517-700 HP  kiasi ca kushinda spidi ya ndege aina ya concord ambayo usifika kwa kwa kasi kubwa, Gari hii inatembea kwa spidi kubwa sana kiasi cha kutaka kuacha njia na kuruka hewani.

Ujeruamni ni miongoni mwa nchi zenye viwanda vingi duniani tena vyenye kuaminika sana kwa bidhaa zake zilizo nzuri na imara zaidi.

Magari kama Ford,Volks Wagon,Benz utengenezwa nchini humo.

Zipo Gari nzuri na zenye nguvu,kasi kama Ferrari,Maclarrine,Lamborguine,Limossine lakini si kuishinda gari hii ya Brabus Mercedes Benz 900.

Bei ya ya gari hii ni dola za kimarekani zipatazo laki tatu tisini mia tatu na sabini na moja.(390,371)







Share :

Facebook Twitter Google+
1 Comment "KUTANA GARI YENYE KASI ZAIDI KULIKO NDEGE YA CONCORD DUNIANI"

Uongo kuna gari zinakimbia zaid ya hizoo kilomita ulizozitaja!!!

Back To Top