Viongozi au maraisi hawa wawili wa kutoka marekani na urusi ndio viongozi wanolindwa kwa teknologia yenye mapangilio wa hali ya juu kabisa kuliko kiongozi yeyeto duniani.
Wanapotaka kwenda kutemebelea eneo lolote basa maafisa usalama wao ufika ktk eneo hilo kwa mda mrefu zaidi kabla ya kiongozi wao kufika ktk eneo husika.
Mareakanin ndio taifa linaloongoza kwa kuwa na maadui wengi zaidi duniani kutokana na sera zake za kimataifa za kuvamia na kpiga mataifa mbalimbali na hata kupanga mapinduzi ya nchi nyingi dunini,korea kaskazini,na nchi nyingi za asia,arabuni zimkuwa zikipanga mashambulizi mengi ktk kila jambo linalomuhusu mmarekani hivyo hii imesababisha kujiimarisha kiulinzi ili kuepukana na kushambuliwa na maadui.
Hali hii imeletwa na uhasama wa jadi uliokuwepo baina ya mrekani na urusi hasa ktk utawala,uchumi na kiusalama ambao upo kwa mda mrefu,kila mmoja hakuna anayemuamini mwenziwe.
Marekani walishapoteza viongozi wengi wakiwa ndani ya taifa lao kwa kushambuliwa na maadui wasiopenda uwepo wa kiongozi husika kama mwaka 1963 ktk jiji la dallas alipopigwa risasi na kuuwawa kwa John F kennedy akiwa ktk kampeni za uchaguzi.

0 Comments "HUU NDIO ULINZI WANAOPEWA VIONGOZI HAWA WANAO ONGOZA DOLA ZENYE NGUVU DUNIANI"