HII NDIO SIRI KUBWA YA RISASI ILIYO FYATULIWA KUTOKA KTK BUNDUKI

Najua wajua! Kuwa mwanga (light) ndio usafiri kwa haraka zaidi kuliko kitu kingine chochote ulimwenguni! 



Mwanga usafiri kwa maili 186,228 sawa na kilomita laki tatu (300000) kwa sekunde moja.



Umeme (electricity) unachukua nafasi ya pili ktk kusafiri kwa kasi kali inayokaribiana na mwanga.

Sauti (sound) usafiri kwa kilomita 1 kwa sekunde 2.91 sawa na maili 1 kwa sekunde 4.69.



Lakini kaa ukijua kuwa risasi (Bullet) inapofyatuliwa kutoka ktk bunduki basi usafiri kwa spidi mita 1500 kwa sekunde hii ikiwa ni kasi kali mara nne 4 zaidi ya ile kasi ya sauti.




Hii ina maana kuwa risasi inapigwa kuelekezwa kwa mtu au mnyama hawezi kusikia sauti au mlio kabla ya kufikia yeye mwilini! Ndio maana inakuwa ngumu kwa kiumbe kukwepa risasi ikiwa mlengaji huyo amelenga panapo kusudiwa kutokana na kasi kubwa inayosafiri kuliko sauti.




Umeme,mwaga na sauti ni miongoni mwa nishati zinazosafiri kwa haraka sana


Share :

Facebook Twitter Google+
1 Comment "HII NDIO SIRI KUBWA YA RISASI ILIYO FYATULIWA KUTOKA KTK BUNDUKI"

Ahsante Sana kwa maarifa haya 👏👏

Back To Top