Nchi ya Ndogo ya Honduras iliyopo amerika ya kusini imepiga marufuku ndoa za utotoni baada ya idadi kubwa ya watoto kuoa au kuolewa chini ya umri wa awali wa miaka 16 ambao uliwekwa kisheria kuwa mtu anaweza kuaoa au kuolewa kwa idhini ya wazazi wa mtoto huyo.
Bunge limeamua kupitisha sheria kwa sasa mtu ataoa au kuolewa akiwa na umri wa miaka 18 na kuendelea,wakati huo huo shirika la umoja wa mataifa UN la Unicef kuwa kufikia mwaka 2050 zitazidi kwa kiasi cha milioni 310 kwa mwaka ikilinganishwa na sasa kiasi cha milioni 14 kwa mwaka
Zaidi ya Asilimia 70% kubwa ya ndoa za utotoni zinafanyika nchi za kiafrika na asia hasa zile zenye uchumi mdogo na watu masikini.

0 Comments "HONDURRAS YAZIDISHA UMRI WA KUOA NA KUOLEWA"