WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA UGIRIKI AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 98

Kostantinos Mistsotakis aliyewahi kuwa waziri mkuu wa nchi ya ugiriki ktk miaka ya 1990-1993 amefariki dunia.

Kostantinos alifariki Mei 29 2017,Waziri huyu wa zamani amefanya kazi ktk serikali kwa zaidi ya miaka 60.

Alizaliwa oktoba 18 1918  huko mji wa Hania,alishashika nafasi kadhaa kabla ya uwaziri mkuu ikiwemo ya uwaziri wa fedha ktk chama cha mlengo wa kushoto.

Ugiriki iliyoko barani ulaya kwasasa ni taifa linalokumbwa na misukosuko ya kiuchumi baada ya kudolola sana na kushindwa hata kulipa madeni ya nje na kusababisha kufilisika kwa serikali na kupelekea kufungwa kwa mabenki na kupunguzwa kwa wafanyakzi ktk sekta umma ikiwemo na kupunguziwa kwa viwango vya mshahara ili kupunguza majukumu kwa serikali.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA UGIRIKI AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 98"

Back To Top