WANASAYANSI WA (NASA) WAKUSUDIA KUFIKA KTK JUA

Wanasayansi wa kitengo cha mambo ya anga (NASA) wametia nia ya kutengeneza chombo ambacho kitakuwa na uwezo wa ktoka duniani hadi kufika jirani na jua.

Kiwango cha  joto la nje la jua ni elfu tano mia saba na sabini na nane 5,778c na la nje ni zaidi ya milioni kumi na nne 14,000,000 ikiwa ni joto kali sana kuweza kufanya chombo chochote kulisogelea japo kwa mbali ya jua hilo kwa kuhofia kuyeyuka na kupotea kabisa.

Umbali kutoka ktk jua hadi ktk dunia ni kilomita milioni mia moja na hamsini 150km sawa na maili 92.96 milioni na kufanya mwanga wa jua kutufikia hapa duniani kwa mda wa dakika 8.na sekunde 30.

Ukubwa wa jua ni mara 387 ya ukubwa wa sayari yetu dunia,jua ndio nyota kubwa ktk mfumo wa ulimwengu kuliko vyengine vyote.

Ikiwa wanasayansi hao watatumia ndege ya jumbo jet itakayotembea kwa spidi ya kilomita 885 kwa saa moja basi itawaghalimu miaka 19 sawa na miezi 228 ktk safari hiyo ya kufika huko na kama wataalam wanasema ikiwa mtu atatumia gari ya kawaida basi atatunia miaka 1695 kufika huko ktk jua.

Sayari yetu ya dunia hufanya mzunguko wake wa obiti kulizunguka jua kwa kilomita  30km kwa sekunde moja tu na kilomita laki moja na elfu nane 108,000 kwa saa moja sawa na maili 67,000 na kufanya kuapata mwaka mmoja kwa mda wa miezi 12 au siku 366 sawa na mwaka mmoja.

Dunia pia hujizungusha ktk muhimili wake kwa ajili ya kuapata usiku na mchana kwa kilomita 29.6 kwa sekunde moja na kufanya kupata usiku na mchana kwa saa 24 tu.

Wanasayansi hawa wameshafanikiwa kufika ktk mwezi mwaka 1969 na appolo 13 na kufikisha vyombo vyao ktk sayari ya Mars na jupita.

Swali linabaki je watapata uwezo japo wa kupeleka chombo chao cha uchunguzi ktk jua kutokana na joto kali na umbali mrefu lilipo?







Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "WANASAYANSI WA (NASA) WAKUSUDIA KUFIKA KTK JUA"

Back To Top