TAFRANI NDANI YA NDEGE YA MALYASIA AIRLINE BAADA YA KIJANA KUTISHIA KUTEKA NDEGE IKIWA ANGANI

Kijana Moodh raia wa sli lanka mwenye umri wa miaka 25 amewaweka abiri 337 walikuwepo ndani ya ndege ya shirika la Malyasia Airline kuwa ametega bomu ndani ya ndege hiyo iliyokuwa inatoka mji wa Melbourne Australia kuelekea Kuala Lumpur nchini Malyasia.

Tafrani hiyo imezuka dakika 90 tu baada ndege kupaa kutoka ktk uwanja wa ndege wa Melbourne,kijana aliwatishia abiria na marubani walikuwepo ndani ya ndege kuwa yeye ana milipuko ndani ya ndege hiyo hivyo anawaomba watulie na wasikilize amri zake tu.

Hata hivyo kija huyo baada ya mda mchache tu alikiri kuwa yeye alikuwa anawatania tu abiria kuona watakuwa na hali gani pia kaungalia kuwa labda wamejifunza kutokana na matukio yalioitokea ndaege mbili za kampuni hiyo moja wapo kupigwa na kombola ktk nchi ya ukraine na kuua watu wote walikuwepo na ndege nyingine kupote ktk bahari ya hindi na kutoonekana kwa miezi kadhaa huku ikiwa imebeba idadi kubwa ya abiria,Baadae ndege hii ilipatikana mabaki tu katika visiwa vya Mariutius na Madagascar ktk bahari hindi na kushindwa kujua nini kiliifanya ndege hii kupotea ghafla ktk rada na kuapata ajali iliyoua watu wote.

Kijana Manodh amefunguliwa kesi kwa kujaribu kuteka na kutishia watu walikuwepo ndani ya ndege hiyo kwani ni hatari kwa watu na ndege yenyewe ingeweza kuleta usumbufu wa kushindwa kuimiliki ndege kwa madereva.

Share :

Facebook Twitter Google+
1 Comment "TAFRANI NDANI YA NDEGE YA MALYASIA AIRLINE BAADA YA KIJANA KUTISHIA KUTEKA NDEGE IKIWA ANGANI"

Back To Top