Wanajeshi 7 wa jeshi la wanamaji la marekani wanahofiwa kufa baada ya meli yao ya kivita hiyo iliyokuwa ikipiga doria ktk bahari ya japan kugongana na meli ya mizigo ya ufilipino na kusababisha sehemu ya meli hiyo kupondeka vibaya bila kuzama.
Meli hizo zilizokuwa zikipishana kwa ukaribu zaidi zilikwanguana kwa ubavuni na kufanya wanajeshi walikuwepo ndani ya meli hiyo ya kivita wamelala kufa wakiwa vyumbani mwao.
kwa mara ya kwanza ripoti za mara kwanza kulikuwa taarifa kuwa hakuna vifo wala majeruhi ktk ajali hiyo ila baada ya masaa machache wakuu wa vitengo ndipo walipogundua kutoonekana kwa baadhi ya wanajeshi hao.

0 Comments "WANAJESHI 7 WA MAREKANI WAFARIKI BAADA YA MELI YAO YA KIVITA KUGONGANA NA MELI YA UFILIPINO"