MOTO WA MSITUNI WAZUAIA NA KUUA WATU 57 BARABARANI URENO

Watu wapatao 57 wamehofiwa kufa kwa moto mkubwa wa msituni uliuzka ghafla huko ureno,moto huo uliwaka kwa kasi na kuzuia barabara nyingi zilizopita ktk misitu hiyo hivyo kuwazuia wasafiri wengi walikuwepo ndani ya barabara hizo hatimaye kuunguza magari na kuua watu walikuwemo ndani ya gari hizo.
Moshi mzito uliwasababisha watu washindwe kupumua vizuri,kushindwa kuona wanapoelekea hivyo kupoteza nguvu na kuzimia hadi pale walipofikwa na mauti wakiwa ndani na nje ya magari yao.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MOTO WA MSITUNI WAZUAIA NA KUUA WATU 57 BARABARANI URENO"

Back To Top