Helmut Josep Michael Kohl amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87,Kohl aliyezaliwa april 3 1930 na kuafriki juni 16 2017.
Helmut aliyeitawala ujerumani akiwa kama kansela kuanzia 1982 hadi 1998 ikiwa ndio kansela alieyhudumu zaidi ktk kiti hiko kwa miaka 16.
Kohl alyesifika kwa sifa zake za kuinganisha ujerumani mashariki iliyokuwepo chini ya chama cha kikomunisti na ile ya magharibi iliyokuwepo chini ya utawala wa nchi za mgharibi hasa marekani na uingereza ni kiongozi anayeheshimika sana wanaujerumani hasa kwa wale wa cha cha christian Democratic Union of Germany alichojiunga nacho toka mwaka 1973.

0 Comments "MUASISI WA UJERUMANI MOJA AFARIKI DUNIA"