SHIRIKA LA FILAMU LA NOLLYWOOD LASHIKA NAFASI YA PILI KWA KUTENGENEZA FILAMU NYINGI DUNIANI

Shirika kubwa la utengenezaji filamu barani afrika la Nollywood lilipo nchini Nigeria limeshika nafasi ya pili kwa utengenezaji wa filamu nyingi zaidi duniani baada ya shirika kubwa kabisa duniani la Hollywood la marekani kuwa la kwanza kwa kutengeneza filamu nyingi,bora na kuuza kwa kiwango kikubwa zaidi duniani kote,hollywood liana makazi yake maalum ya mji wa Carlifornia.

Nollywood lenye makazi yake maalum ktk jiji la Lagos nchini Nigeria limeshika nafsi hiyo kutokana na umaarufu wake barani afrika na hata duniani kwa ujumla kwa jinsi ya aina zake za filamu zinazolenga zaidi maisha halisi ya mwafrika hasa kwa nchi za afrika magharibi.

Watu maarufu ni kama Olu jacobs,Tonto dike,Ramsey Noha,Majid.

Shrika la tatu na kubwa na lianaloongoza kwa kutengeneza filamu nyingi na bora zaidi duniani ni la Bollywood la nchini india lenye makazi yake mji wa Mumbai.






 Miongoni mwa baadhi ya wacheza filamu wa kinaigeria
Miongoni mwa wacheza filamu wa kihindi


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "SHIRIKA LA FILAMU LA NOLLYWOOD LASHIKA NAFASI YA PILI KWA KUTENGENEZA FILAMU NYINGI DUNIANI"

Back To Top