MLIPUKO WA BOMU WAUA WANAWAKE 3 NDANI YA DUKA BOGOTA

Mlipuko mkubwa uliofanyika ndani ya jengo kubwa la maduka ktk mji mkuu wa Colombia Bogota umeua watu wapatao watatu ambao wote ni wanawake walikuwemo ndani ya maduka hayo wakifanya manunuzi ya vitu mbalimbali.

Colombia inakuwa na mfululizo wa mashambulio hayo ya mabomu mara kwa mara  hasa ktk mji huo wa bogota  vitendo vinavyohisiwa kutekelezwa na wanamgambo wa Farc wanaopingana na utawala wa serikali kwa miongo kadhaa sasa.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MLIPUKO WA BOMU WAUA WANAWAKE 3 NDANI YA DUKA BOGOTA"

Back To Top