TOYOTA LAND CRUISER KIBOKO YA AFRIKA,JAGWANI NA HATA VITANI!

Umekaa n kujiuliza hata Siku moja juu ya Gari hii ya Toyota land cruizer inayotengenezwa na kampuni kubwa ya kimataifa ya TOYOTA yenye makao makuu mji wa Tokyo Japan!



Hii ndio Gari imara yenye kutumia zaidi ktk maeneo ya kivita,jagwani,ktk utalii pia mashirika ya serikali na yasiyo ya kiserikali ya ndani na nje yamekuwa yakitumia aina hii ya gari! Ktk shughuli zake nyingi hasa ktk maeneo yenye milima mikali,makorongo,tope,joto Kali,mchanga mwingi,kifupi maeneo korofi.



Gari hii inaonekana kufanya vizuri na kuvumilia zaidi ktk hali ngumu za hewa na kimazingira!

Ajabu ni kuwa Gari hii ilianza kuundwa kwa Mara ya kwanza mwaka 1951 kwa kusudio LA matumizi ya kawaidia na si ya kivita,utalii! Kutokana na uimara,ubora na nguvu kubwa ya injinj yake ya four cylinder! Mashirika na watu mbalimbali walipendezewa na kununua Gari hizi!






 Maeneo kama Congo DRC,Tanzania,Libya,Yemen,syria na nchi nyingi wamekuwa wakitumia Gari hizi kwa kazi mbalimbali kutokana na gharama zake zenye kumudu watu Wengi ktk manunuzi na marekebisho! Ukilinganisha na kununua Gari Maalum za kivita au utalii.








Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "TOYOTA LAND CRUISER KIBOKO YA AFRIKA,JAGWANI NA HATA VITANI! "

Back To Top