Miaka bilioni 4.5 iliyopita wakati sayari dunia (earth) inajiunda joto lake lilikuwa sawa na sayari ya zuhura (Venus) nyuzi joto 462 joto ambalo kiumbe hakiwezi kuishi!
Kutokana na mabadiliko mbalimbali baada ya mda dunia ikawa mahali ambapo kumbe hai kinaweza kwa joto kushuka hadi nyuzi 16.
Hali ya joto Kali litakalofikia nyuzi 600 ktk miaka bilioni moja ijayo,joto hili litafanya dunia kutokuwa makazi tena kwa viumbe hai na kutokalika kabisa!
Joto hili kitaifanya dunia kuchemka kama uji wa Chuma,ukali wa joto hili litakuwa na uwezo wa kuyeyusha Chuma!
Hali hii ni ya hatari sana kwani itakuwa ndio mwisho wa maisha ya wanadamu,mimea na viumbe vyengine vyote! Kutokana na joto Kali,kukauka kwa maji (bahari,maziwa,moto) ambayo ndio nguzo juu ya uhai kwa kila kiumbe hai ktk kuumbwa na kuendelea kuishi!
Wataalam wanasema kufikia mwaka 2200 joto la dunia litakuwa limeongezeka kwa nyuzi 7.
Kwa sasa sayari yenye joto Kali zaidi ni zuhura (Venus) licha kuwa ya pili kutoka lilipo jua baada ya ile ya zebaki (mercury)!.

0 Comments "HATARI NA UKWELI KUHUSU SAYARI YETU DUNIA!"