Shabiki wa timu ya yanga (Young Africans) maarufu kama Ally Yanga Kitumbotumbo amefariki jana ktk ajali ya gari iliyotekea mkoani Dodoma.
Shabiki huyu mkubwa na aliyefahamika na wanamichezo wazawa hasa wa timu watani wa jadi za simba na yanga kwa ushehereshaji wake uwanjani timu hizi zikiwa zinacheza,

0 Comments "SHABIKI MAARUFU WA YANGA AFARIKI KTK AJALI YA GARI"