MFALME WA SAUDI ARABIA KING SALMAN ABADILI GIA ANGANI KWA KUMTANGAZA MRITHI WAKE

Mfalme wa Saudi arabia King Salman al saud amemtangaza kijana wake Mohammed bin Salman al saud kuwa ndio mrithi wake wa kiti chake cha ufalme,Mohammed mwenye umri wa miaka 31,Mfalme salman amemtangza mwanae huyo leo siku ya jumatano kuwandiye mrithi wa kiti chake ktk vyombo vya habari na wizara ya usalama wa nchi hiyo.

Mabadiliko hayo yamefanywa baada ya kuondoa uwepo wa mpwa wake Mohammed bin Nyef al saud ambae ndio mkubwa kwa umri lakini ndiye aliyetarjiwa kurithi taji hilo la ufalme



Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MFALME WA SAUDI ARABIA KING SALMAN ABADILI GIA ANGANI KWA KUMTANGAZA MRITHI WAKE"

Back To Top