
Akiwa ktk ziara ya siku tatu ktk mkoa wa pwani iliyoanza jana ktk eneo la kibaha mjini maili moja eneo la bwawani kwa kuwahutubia mamia ya wananchi waliohudhguria eneo hilo na kuwaeleza mipango na mambo mbalimbali ambayo serikali inaitekeleza kwa ajili ya wananchi.
Magufuli amezundua maradi huo wa maji ambao umejengwa na kukamilika kwa fedha za msaada kutoka serikali ya india zilizotolewa na Waziri mkuu wa india Narendra Modi alipotembelea nchini mwaka jana na kutoa zaidi ya dola milioni 500 kwa afrika mashariki kwa jaili ya kuhudumia miradi ya maji pekee,Tanzania imebahatika kupewa dola milioni 92 za kimarekani.

0 Comments "JPM AZINDUA MRADI WA MAJI WA RUVU JUU"