WAZIRI MKUU WA INDIA NARENDRA MODI AITEMBELEA UJERUMANI

Waziri mkuu wa India Narendra Modi amezuru nchi ya Ujerumani kwa kuendeleza ushirikiano zaidi wa kuashiria na urafiki wa kidiplomasia  baina ya ataifa hayo mawili.

India ambayo ina idadi ya watu bilioni 1.2 ni muhimu sana kwa kuwa na mafungamano na ujerumani kwani kuna soko kubwa la bidhaa.

India ni taifa linaloendelea kwa kasi kubwa hasa ktk sayansi na teknologia ya viwanda kwa kuwa na wataalam na viwanda vuya kutengeneza vifaa vya umeme,magari,treni wenyewe kama TATA,BAJAJ.

Modi amepokelewa na mwenyeji wake Kansela wa ujerumani Bi.Angela Markel.





Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "WAZIRI MKUU WA INDIA NARENDRA MODI AITEMBELEA UJERUMANI"

Back To Top