DIKTETA WA PANAMA MANUEL NORIEGA AFARIKI DUNIA AKIWA JELA

Aliyekuwa Kiongozi na Dikteta wa Nchi ya Panama Miaka ya !993-1999 Manuel Antonio Noriega amefariki dunia akiwa anatumikia kifungo cha maisha.









Noriega aliyezaliwa ktk jiji lapanama februari 11 1934 amefariki akiwa na umri wa maika 83,Noriega alitawala panama kwa kutumia itakadi za kijamaa kama marafiki zake wa karibu Hugo Chaves,Fidel Castro walivyokuwsa wakitawala mataifa yao.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "DIKTETA WA PANAMA MANUEL NORIEGA AFARIKI DUNIA AKIWA JELA"

Back To Top