
Siku ya jumanne wiki iliyopita kikundi cha waasi cha kigaidi cha kimataifa cha IS kimevamia na kuteka jiji la Marawi nchini ufilipino na kuweka wananchin ktk wakati mgumu kiasi cha kushindwa kutoka na kukimbia nje ye jiji hilo.
Hata hivyo Rais wa Taifa hilo la ufilipino amepeleka vikosi vya kijeshi wakiwa na silaha nzito ili kuukomboa mji huo na watu wake ambapo watoto na kina mama wameonekana kuteseka zaidi,
Kumeripotiwa vifo vya watu 36 kutokana na mashambulizi hayo ya kigaidi ktk jiji hilo linalokaliwa na wakazi wasiopungua 20,0000

Ufilipino ni nchi inayoundwa na muunganiko wa visiwa vingi sana hivyo kufanya ugumu ktk kutawala maeneo hayo ambayo mengi yako mbalimbali ktk bahari ya hindi ambapo usafiri mkuu ni wa anga au kupitia baharini.
0 Comments "UFILIPINO YATIBUKA UPYA BAADA YA JIJI LA MARAWI KUTEKWA NA IS"