KOREA KASKAZINI: "MOTO NI ULE ULE WIKI TATU MABOMU MATATU"

Korea kaskazini imeripotiwa kurusha kombara la tatu mfululizo ndani ya wiki tatu za hivi kartibuni na kufauatanisha majaribio hayo kulekeza bahari ya japan.

Pyongyang imeapa kuendelea kufanya mjaribio zaidi na zaidi mpaka wapate bomu litakaloweza kuvuka kutoka bara moja kuelekea bara lingine licha wataalam wa kimarekani wa mambo ya kijeshi wamesema korea kaskazini bado wana safari ndefu sana hadi kupata teknologia itakayowawezesha wao kupata mtambo utakaoweza kurusha bomu kutoka bara moja kuelekea bara lingine.

Wiki hii jumatano ya Tarehe 30 mwezi huu mei marekani imekusudia kufanya majaribio yake ya kombora la masafa marefu pia.




Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "KOREA KASKAZINI: "MOTO NI ULE ULE WIKI TATU MABOMU MATATU""

Back To Top