
Unapohitaji kununua na kumiliki gari kwa ajili ya matumizi yako binafsi au kifamilia basi hunabudi kutazama mambo mengi sana ya kuzingatia!

Yafuatayo ni mambo ya kuzingatia kabla ya kununua au wakati wa kukata shauri ya kupata gari kwa ajili ya mizunguko yako!
1.Umbile au umbo la Gari husika lina mvuto kwao na hata watakaloliona.
2.Rangi ya Gari pia ni muhimu sana kwa mununuzi kuzingatia.
3.Ukubwa au aina ya matumizi au idadi ya watu unayokusudia ibebe kwa wakati mmoja.
4.Ulaji au matumizi ya mafuta kwa safari.
5.Spidi au maendokasi wa Gari .
6.Upatikanaji wa vifaa vya Gari husika pindi itakapohitajika kufanya matengenezo.
7.Aina za barabara unazokusudia kupita au kuzitumia Mara kwa Mara ktk mizunguko yako!

9.Aina au mifumo ya kuendesha Gari ikiwa mafuta ya diesel,petrol,gasi au umeme.
10.Je Gari unayokusudia kununua imetengenezwa na kampuni,kiwanda kinachoaminika ulimwenguni.
Zifuatazo ndizo kampuni aua aina ya gari nzuri,bora,zinazoaminika na kununuliwa zaidi ulimwenguni kote:-
TOYOTA-1937 kampuni yenye makao makuu nchini Japan ndio kampuni inayouza na kutoa ana nyingi za Gari ulimwenguni kama Subaru,Lexus.
GENERAL MOTORS (GMC)-Mkao makuu nchini marekani inatengeneza Gari kama Chevrolet,Dodge,jaguar,lamboghunie,Cadillac,bughati n.k.

HYUNDAI-makao makuu ni Korea kaskazini.
HONDA 1946-Makao makuu Japan
VOLKSWAGEN-Makao makuu ni ujerumani.
Mercedenz Benz-1926 Makao makuu ni ujerumani.
FORD 1925-Makao makuu ni uingereza.
PEGEOUT-Makao makuu ufaransa.1882
RENAULTS-Makao makuu ufaransa.
AUDI 1932-Makao makuu ufaransa.

IVECO-Italia
SUZUKI-Japan
NISSAN-uingereza 1933
BMW (British motor works)-Uingereza 1916
FERRARI-Italia 1947
ROLLS ROYCE-uingereza

PORSCHE-ujerumani 1931
BENTLEY
MAZDA 1920
ALFA ROMEO
DAIMLER
OPEL 1862
ISUZU-1916 japan
MISTUBISHI-1870 Japan
CHEVRON-1980
Duniani kuna mamia ya kampuni na viwanda vya magari ya aina mbalimbali na kuuza ulimwenguni kote,hivyo ni muhimu zaidi kupata ushauri wa wataalam wa magar kabla ya kufanya maamuzi ya kununua gari.
Maendeleo ya viwanda na teknolojia ya matumizi ya roboti yameleta mapinduzi maubwa na kurahisha kazi kufanyika kwa urahisi na haraka zaidi.

Ulimwenguni kote nchi zinazoongoza kwa kutengeneza nakuuza kiwango kikubwa cha magari ni CHINA,USA,JAPAN,UJERUMAI,KOREA KUSINI NA INDIA.


0 Comments "NI NJIA ZIPI ZINAZOFAA ZAIDI KTK KUCHAGUA GARI ILIYO BORA,SALAMA NA IMARA ZAIDI?"