Jina hili la Reema Lagoo haliwezi kuwa adimu kwa wapenzi wa filamu za kihindi kuanzia miaka ya 1980 na kuendelea,mwanadada huyu amefariki ghafla jana mei 18 2017 kwa mstuko wa moyo ktk hospitali ya Kokilaben Dhirubhai Ambani iliyopo jiji la Mumbai inchini india.
Reema alizaliwa 1958 na kufariki jana mei 18 2017 akiwa na umri wa miaka 59,Reema alishawahi filamu nyingi na nyota wengi maarufu wa india bollywood kama Sharkhan ktk filamu kama Kuch kuch hota ha ya 1998,Maine pyar kiya 1989,Hum Aapke Haain 1994.
0 Comments "REEMA LAGOO NYOTA ILIYOZIMIKA GHAFLA BOLLYWOOD"