TUJITAHIDI KUTUMIA WAKATI KWA MAMBO YENYE FAIDA NASI

Nyakati! mda,saa,siku,mwezi,mwaka hatimaye miaka! The whitemen call it TIME! Kila ufanyalo,unapokuwepo basi lazima ufanye au kuwepo eneo hilo kwa mda Maalum!
Ikiwa hutaki wewe kupanga mda wa kufanya au kuwepo basi mazingira yenyewe yatakupangia na kukulazimisha kwenda kwa mda!
Uwepo wa dunia na vyote vilivyopo pia vimewekwa na kwenda kwa utaratibu Maalum wa kutumia nyakati!
Hakuna ukamilifu wa maisha ya mwanadamu kwa kutumia mda mwingi kwa kufanya jambo moja pekee!
Kwa kutumikia jambo moja pekee ktk sehemu kubwa ya mda wako inamana umekubali kutumia uhai,umri na maisha yako yote kuwa mtumwa wa hili pekee!
Variety,flexibility and complexity (machaguo mengi,mabadiliko na kufanya mambo kuwa mengi na makubwa) Ndio nguzo pekee itakayokuwezesha kufikia malengo kadhaa kabla ya kukabiliana na kifo!
Usikubali kufanya tone lako la uhai kulitumia lote kwa kuwa mtumwa wa aina Fulani ya maisha au shughuli!
Mungu alikuumba na Kichwa kilichojazwa wa ubongo zaidi ya kilo 5 ukiwa umejazwa busara,hekima na uchanganuaji wa mambo mapya kila kukicha!
Ubongo wako una uwezo wa kuleta mawazo mapya,kuchanua,kupima na kuhifadhi mambo mengi ktk uhai wako wote!
Tambua tuko ulimwenguni hapa kwa madhumuni,malengo,makusudio na mda (nyakati) Maalum!
Sometimes the whitemen they say "TIME IS MONEY" so do the right things in the right and perfect time.
Use effectively and efficiently most of your life's time for the beneficial ideas and creations!























Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "TUJITAHIDI KUTUMIA WAKATI KWA MAMBO YENYE FAIDA NASI"

Back To Top