
Zaidi ya miji na majiji 140 ndani ya Canada yameathiriwa vibaya kwa kujaa maji maeneo yasiyo rasmi na kuzifunika nyumba nyingi.
Mafuriko haya yamesababisha kupotea kwa watu 3 a mmoja kufa kwa kuzolewa na maji yaendayo kasi,hata hivyo serikali ya Canada imesambaza zaidi ya wanajeshi 1,000 ktk miji mbalimbali kwa ajili ya kutoa misaada na uokoaji kwa waathirika hao.
0 Comments "MVUA KUBWA ZAWAHAMISHA WAKAZI 2000 CANADA"