
Muuaji huyu anayetumia bunduki na kupiga maeneo ya kichwani na kuwatesa watu kwa adhabu mbalimbalki hadi kupoteza uhai wao, Kijana huyu mpaka kukamatwa kwake alishafanya mauaji ya watu 9 ktk sehemu nyingi ndani ya jimbo la Arizona kama Phoenix.
Polisi bado wanaendelea kumuhoji mtuhumiwa sababu za yeye kuwa anafanya mauaji hayo kwa watu na maeneo tofauti hasa kwa mwaka 2016,umri ya watu aliokuwa akiwaua walikuwa ni baina ya miaka 12-55.
0 Comments "ALIYEFANYA MAUAJI YA SIRI KWA WATU 9 AKAMATWA"