MSAFARA WA KIJESHI WASHAMBULIWA KWA MABOMU AFGHANSTAN

Msafara wa magari ya kijeshi ya afghanstan na washirika wa marekani umeshambuliwa na watu wasiojulikana siku ya leo jumatano mei 3 2017 na kuharibu magari hayo vibaya na kuua raia 8 na kuumiza wanajeshi wa marekani 3 na raia 25.











Mpaka sasa kikundi kinachoshukiwa kuhusika na mashambulio hayo yanayotokea mara kwa mara ni Taliban,kwani mara nyingi Taliban wamekuwa wakijihusishan na vitendo hivi vya kuvizia misafara ya kijeshi au kwenda ktk vituo vya kijeshi na kufanya mashambulizi mabaya abisa na kuua watu wengi.
















Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MSAFARA WA KIJESHI WASHAMBULIWA KWA MABOMU AFGHANSTAN"

Back To Top