

Rais Magufuli licha ya kuagiza kufungiwa kwa mishahara ka watumishi wqenye vyeti feki kwa mwezi mei amesema sasa hata wale wenye vyeti vyenye utata na kutumiwa na mtu zaidi ya mmoja nao watafungiwa mishahara kwa mwezi hu hadi pale watakapopatikana walimiliki halali wa vyeti hivyo au kujulikana kwa ukweli na uhakika wa uhalisia wa vyeti hivyo.
Hali hii inawafanya watumishi hao kukaa tumo joto zaidi kwa kutokujua hatma ya muendelezo wa matukio hayo,
rais wa awamu ya tatu Ndugu Benjamin William Mkapa kwa mara ya kwanza nae amejaribu kuzungumzia juu ya utawala wa Mh.Magufuli kuwa uko imara na yeye anaupongeza kwa juhudi zake zote ktk mambo mbalimbali ya nchi ikiwemo swala hili la uhakiki wa watumishi hewa,vyeti feki,vyeti tata na kuongeza kusema anajilaumu hata kwanini hakuafanya wakati wa awamu yake 1995-2005 licha ya kujaribu kuwastaafisha na kuwafukuza baadhi ya wafanyakazi wa umma wenye elimu duni maarufu kama lidandasi.

0 Comments "MAGUFULI AAGIZA WATUMISHI WENYE VYETI VYENYE UTATA 1,538 NAO KUFUNGIWA MSHAHARA MWEZI HUU"