80 WAUAWA NA 300 WAUMIA KWA BOMU LA KIJITOLEA MHANGA MAENEO YA OFISI ZA MABOLOZI AFGHANSTAN

Watu wapatao 80 wameuawa kwa mlipuko wa bomu la kujitolea mhanga na zaidi ya 300 wameripotiwa kuumia vibaya baada ya gari ya maji taka lilosheheni mabomu kuegeshwa jirani na ofisi za mabalozi ktk jiji la Kabul.

Kikundi cha Taliban kinakana kuhusika na shambulio hilo ila kikundi cha IS kimekili kuhusika na tukio hilo.




Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "80 WAUAWA NA 300 WAUMIA KWA BOMU LA KIJITOLEA MHANGA MAENEO YA OFISI ZA MABOLOZI AFGHANSTAN"

Back To Top