MELI YA KIVITA YA URUSI YAFYATUA MAKOMBORA NDANI YA SYRIA:ISRAEL,MAREKANI ZAONYWA

Meli ya kivita ya urusi iliyokuwepo ktk bahari ya meditarania imefyatua makombora kadhaa kuelekea syria hasa ktk mji mkongwe wa palmyra ulio na histioria ya dola ya warumi wakati wa Himaya ya Kiajemi.

Sababu ya kupiga mabomu hayo ni kupunguza nguvu za vikundi vya waasi kama IS ambao wanaonekana kushika hatamu na kuingia ndani zaidi ya syria.
sehemu mojawapo mwa mabaki ya magofu ya mji mkongwe wa palmyra huko syria


 miongoni mwa meli za kivita za urusi zikivinjari baharini.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MELI YA KIVITA YA URUSI YAFYATUA MAKOMBORA NDANI YA SYRIA:ISRAEL,MAREKANI ZAONYWA"

Back To Top