Mwaka 2008 pikipiki na bajaji zilianza rasmi kutumia kama nyenzo ya kusafirishia abiria na mwaka 2010 serikali ilamua kutoa kanuni na masharti maalum kwa madereva,wamiliki na bairia wanaotumia vyombo hivo ikiwemo kuwa na leseni ya udereva,kupata elimu ya barabarani,mafuzo na maelekezo mbalimbali.
Hata hivyo hali imezidi kuwa mbaya zaidi kwa kuonekana kutokea kwa jali nyingi zinazogharimu maisha ya watu n wengine kuachwa majeruhi waliachwa bila baadhi ya viungo ktk miili yao.
Kuanzia mwaka 2014- 2017kumekuwa na idadi ya ajali za pikipiki na bajaji zipatazo 31,928,mjeruhi 30,661 na vifo vya watu 6,529 iadi ambayo ni kubwa na inaongezeka siku hadi siku. Alisema waziri wa mambo ya ndani Mh.Mwigulu Nchemba
Miongoni mwa sababu za ajali hizi ni uzembe wa madereva,kutokuvaa kofia ngumu,kutofuata kanununi na masharti ya barabarani,kutokuwa na mafunzo ya udereva na leseni,matumizi ya vilevi vya aina mbalimbali kama pombe kali,mirungi,bangi.
Hata hivyo kumekuwa na uhalifu unaotokana na matumizi ya bajaji na bodaboda kwa kupora watu usiku na mchana au kuuawa kwa waendeshaji wenyewe kwa nia ya kuporwa vyombo hivyo.

0 Comments "PIKIPIKI,BAJAJI ZONGOZA AJALI NA KUUA BARABARANI "