
VIONGOZI WA WA ISRAEL,UTURUKI,UFARANSA NA AUSTRALIA WAUNGA MKONO MASHAMBULIZI YA MAREKANI HUKO SYRIA

VLADIMIR PUTIN AVUNJA MKATABA WA MASHAMBULIZI YA ANGA NA MAREKANI BAADA YA MASHAMBULIZI

TRUMP AKUTANA NA RAIS WA CHINA XI JIN PING KTK HOTELI YAKE YA PALM BEACH FROLIDA

SYRIA YAUA RAIA 100 BAADA YA KUTUMIA SILAHA ZA SUMU

RAIS FARMAJO: KUiTANGAZA SOMALIA KAMA UKANDA WA VITA

PROF. LIPUMBA KUIWEKA CUF KTK KIZUNGUMKUTI BAADA YA KUMUENGUA MAALIM SEIF NA KUMUWEKA MAGDALENA SAKAYA

WALIOKULA SAMAKI MWENYE SUMU ZANZIBAR MMOJA AFARIKI DUNIA

FARU FAUSTA ATUMIA MILIONI 64 KWA MWEZI KTK MATUNZO YAKE

MALORI 200 YA KITANZANIA YAKAMATWA NA KUZUIWA ZAMBIA

CASSIN: CHOMBO KILICHOTUMWA NA NASA KWENDA SAYARI YA SATANI CHAFIKA BAADA YA MIAKA 20

KIMBUNGA DEBBY CHAENDELEA KUICHAKAZA NEW ZEALAND KWA KUHARIBU MAKAZI NA MIUNDOMBINU

VENEZUELA WAANDAMANA KUSHINIKIZA RAIS NICOLAUS MADURO KUJIUZULU

AFRIKA KUSINI WAANDAMANA KUSHINIKIZA KUJIUZULU KWA RAIS JACOB ZUMA BAADA KUFANYA MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI KARIBUNI

ARGENTINA WAANDAMANA KUFUATIA KUSHUKA KWA UCHUMI NA KUPANDA KWA GHARAMA ZA MAISHA.

WAASI WA UFILIPINO WAAKUDSUDIA KUSIMAMISHA MAPANDO YAO DHIDI YA SERIKALI

WAPINZANI CONGO DRRC WAMTAKA JOSEPH KABILA KUACHIA MADARAKA
0 Comments "HABARI MOTOMOTO TOKA JIKO LA GESI"