
Shabulio linalihisika ni la kigaidi limefanyika hivi pumbe katikati ya jiji la stockholm nchini sweden baada ya lori linahisika kubeba milipuko kuacha njia na kuingia ndani ya jengo na kuua watu watatu na wengine wengi kujeruhiwa vibaya,uchunguzi zaidi unaendelea kujua ni watu au kundi gani wanahusika na shambulio hilo.
0 Comments "HABARI ZA HIVI PUNDE:SHAMBULIO LA KIGAIDI LAFANYIKA MJI WA STOCKHOLM SWEDENI "