Kazi nzuri ya mikono ya wale waluokusudia maendeleo toka ndani ya roho zao!
Kutana na mfereji mrefu zaidi ulichimbwa na wanadamu huko China ujulikanoa kama CHINESE GRAND CANAL wenye urefu wa kilomita 1,794 sawa na maili 1,104 kutoka Mji wa Beijing,Tijian,Hebei,Shand
Mfereji huu mrefu unaopokea maji kutoka mito ya Yangtse,yellow,Hadi,Huai,Q
Mfereji huu ni miongoni mwaka urithi wa dunia kupitia UNESCO HERITAGE
Mfereji kama hii pia iko huko katikati ya bara la marekani ya kusini na kaskazini ijulikanao kama PANAMA ulianza kujengwa 1904 na kufunguliwa August 15 1914 unaonganisha bahari ya Atlantiki na pasifiki wenye urefu wa kilomita 77 sawa na maili 48
Misri SUEZ CANAL ulianza kujengwa 1859 uliofunguliwa 1869 unaonganisha bahari za hindi na mediterania wenye urefu wa kilomita 193 sawa na maili 120 ili kuepusha mizungo mirefu isiyo ya lazima.
Mifereji hii utumika kwa mambo ya kiuchumi kama usafirishaji wa watu,watalii,mizigo hasa makaa ya mawe zaidi ya tani milioni 80 kwa mwaka huko china,upitisha meli kubwa za abiria na mizigo.
0 Comments "CHINESE GRAND CANAL:MFEREJI MKONGWE NA MREFU KULIKO YOTE DUNIANI"