Jeshi la wanamaji la marekani limesogeza meli yake ya kivita iliyosheheni nndege na vifaa vya kivita ili kujiweka sawa na shambulizi au majaribio yeyote yale yatakayofanya na korea kusini.
Meli hii imesogea kufuatia fununu za kuwepo kwa jaribio la silaha za korea kaskazini kama ilivyoahidi kuwa kila wiki itakuwa ikifanya majaribio ya silaha zake kama kwaida yake.
Mataifa ya marekani,japan na china yamekutana jana mji wa Tokyo nchini Japan kwa ajili ya kuzungumzia jinsi ya kutuliza mgogoro huo na kuepusha vita hiyo mbaqya inayokaribia kulipuka baada ya kuonekana korea kaskazini kuendelea na misimamo yake ya kuendelea kuetengeneza na kufanya majaribio ya silaha zake kama kawaida na kusema wao wako tayari kwa vita endapo wataguswa tu.
Urusi kupitia waziri wake wa mambo ya nje sergio ravlov kuwa hatua zinazochukuliwa na marekani juu ya mgogoro wa korea kaskazini ni za kibabe na hatari sana kwa usalama wa Eneo lote la japan,korea kusini nna kaskazini, Vitendo vya mazoezi ya pamoja na kusogeza meli vinavyofanywa na marekani vimesababisha maandamano makubwa ndani ya korea kusini ili kupinga hatua zinachukuliwa na marekani kwani zina hatarisha amani.

0 Comments "CHINA,MAREKANI,JAPAN ZAKUTANA TOKYO KUZUNGUMZIA VITA INAYOCHEMKA RASI YA KOREA KASKAZINI"