
Mpango hu wa kuahmishiwa kwa serikali kwenda dodoma ulishatangazwa na baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mwaka toka mwaka 1973 lakini yalikuwa yakisuasua toka kipindi hiko kwa kuaonekana kuwa kuna vikwazo vya kuwa mji haua majengo ya kutosha,miundombinu ya kutosha kama barabara,mfumo wamaji safi lakini na fedha au gharama za kuhamia huko.
Hii ilipelekea kushindikana ndani ya kipindi cha Mwalim nyerere mwaka 1960-1985, Alhaji ally hassan Mwinyi 1985-1995,Benjamin William Mkapa 1995-2005,Jakaya mrisho Kikwete 2005-2015 na kuja kupata na hamasa kwa awamu hii ya tano ya Rais John Pombe Magufuli kuanzia alipoingia madarakani novemba 2015.
Wizara amabazo zimeshahamia Dodoma ni wizara ya mambo ya ndani na ushirikiano wa afrika mashariki,maji na umwagiliaji,menejimenti na utumishi wa umma utawala bora,fedha na mipango,habari uatamaduni sanaa na michezo,katiba na sheria,nishati na madini,afya na maendeleo ya jamii,jinsia watoto,kilimo mifugo na uvuvi,nyumba ardhi na maendeleo ya makazi,mali asili na utalii,wizara ya elimu na sayansi na mafunzo ya ufundi na tawala za mikoa na serikali za mitaa.
ukiondoa wizara hizo pia kutafuatiwa na kuhamishwa kwa balozi na taasisinnyeti za serikali kwenda ktk makao makuu ya nchi hii yaani Dodoma.
0 Comments "WIZARA 16 ZAHAMIA DODOMA"