
Kuna kampuni nyingi kubwa na maarufu duniani kwa utengenezaji wa simu za aina mbalimbali kutoka marekani,ulaya,india,china na hata korea kusini,kila kampuni inajitahidi kufanya vyema na kutoa simu imara,bora,inayodumu na ya kisasa zaidi ktk kuendana na mabadiliko ya sayansinna teknologia ya ulimwengu wa sasa.
Hapo zamani vifaa kama kamera,redio,saa,ilikuwa na vfaa vinavyopatikana tofauti kwa bei mbalimbali ila kwasasa vifaa hivi vimekuwa vyote vinapatikana ktk kifaa kimoja tu ambacho ni simu,Kifaa hiki kiitacho simu kimekuwa kifaa muhimu sana kwa maisha ya sasa duniani kwani kimekuwa kikitoa taarifa mbalimbali popote ulipo ambazo ni muhimu kwa maendeleo ya mwanadamu.
Hivi karibuni kampuni ya Samsung ya korea kaskazini ilipata kashfa ya simu zake kulipuka hovyo pindi tu zinapowekwa ktk chagi na ikaja kugundulika kuwa tatizo lipo ktk mfumo wa kuchagia betri za simu kuwa haukuwa vizuri.
Licha lawama na tuhuma hizo kwa shirika hilo simu la korea kaskazini bado wameibuka namba moja ktk watengenezaji wa simu za kisasa lililofanyika huko barcelona uhuispania.
Simu namba moja ni Samsung(s.korea),Apple(USA),Iphone(USA),LG(S.korea),HTC,(taiwan),Sony(Japan),Nokia(finland),Blackberry(Canada),Huawei(china),Motorola(USA),NEC(japan),Lenovo(china),Oppo(china),Xiaomi(china),TCL(china),ZTE(china),Micromax(India),Panasonic(japan), pamoja na alcatel,nexus,pantech,k-touch,gionee,sony ercson na Oneplus T3yakiwa ni makampuni yanayojitahidi ktk uengenezaji wa simu nzuri na kisasa zaidi duniani.
0 Comments "SAMSUNG NDIO SIMU BORA YA KISASA 2017"