MAMA SALMA KIKWETE AULA UBUNGE

Rais Magufuli jana amemteua Mama salma kikwete mke wa rais  wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete baina ya 2005-2015 kuwa mbunge,Hivi karibuni Rais Magufuli amekuwa akifanya uteuzi wa viongozi wa ngazi za juu kama mabalozi,wakuu wa idara mbalimbali.

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comments "MAMA SALMA KIKWETE AULA UBUNGE"

Back To Top