WATU 30 WAUAWA KWA MABOMU MAWILI YA KUJITOLEA MHANGA DAMASCUS

Miaka sita ya vita nchini syria toka 2011 kuanza kwa machafuko ya kudai mabadiliko ya uongozi wa taifa hilo kutoka kwa Asad kwenda kwenye demokrasia.

Saa moja iliyopita Walipuajin wawili wa kujitolea muhanga wamejilipua ndani ya jengo kuu la mahakama mjini damascus syria  na kusabababisha vifo vya zaidi ya watu 30 walikuwemo ndani ya jengo hilo la mahakama kuu na wale waliokuwa viwanja vya mji wa Rabweh ambapo mlipuaji wa pili alijitoa muhanga ktk mtaa huo.

Zaidi ya watu milioni kumi na mbili wanaripotiwa kukimbia nchi hiyo kutokana na vita hiyo inayoendelea. Utawala wa Bashar al Asad unalaumiwa kwa kuendelea kushikilia madaraka  huku akisaidiwa na utawala wa urusi chini ya  vladimir Putin.


Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comments "WATU 30 WAUAWA KWA MABOMU MAWILI YA KUJITOLEA MHANGA DAMASCUS"

Back To Top