KITIMTIM CHA UTEKAJI WA MELI SOMALIA WAANZA UPYA!

Pwani ya somalia inekuwa ni  miongoni mwa maeneo hatari zaidi duniani kwa usalama wa Mali na maisha ya watu kwa ujumla.

Siku ya Jumanne meli ya Ari's 13 inayomilikiwa na kampuni ya Panama na ikisimamiwa na shirika la Aurora Arab emarate iliyokuwa na tani zipatazo 1800 ya mafuta ghafi.

Meli hii ilikuwa na mabaharia wapatao 8 raia  wa Sri lanka,ilkamatwa na mahatamia hao baada ya moja ya haramia ajulikanar kwa jina la  Abdulah alipiga simu kwa shirika la  utangazaji la  uingereza Reuters na kuwambia kuwa wao wako njiani kuelekea Alula kuikamata meli hiyo.

Sababu kuu kwa wasomali Wengi kujihusisha na vitendo hivi vya uharamia ni  kutokana na machafuko ya kivita na umasikini uliopindukia kwa kwa watu kushindwa kujushughulisha na kazi za halali.

Zaidi ya meli 34 zemeripotiwa kutekwa na maharamia huko somalia na kudai kiasi cha pesa kikubwa kutoka kwa wamiliki wa meli au Mzigo uliopo ili kuichia meli na watu.

Maharamia hawa ujihami kwa silaha nzito kama mabomu,bunduki za kisasa na boti ziendazo kasi zaidi.


Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comments "KITIMTIM CHA UTEKAJI WA MELI SOMALIA WAANZA UPYA!"

Back To Top