
Majimbo ya newyork na michigan yametwngazwa kuwa ndio majimbo yatakayoathiriwa zaidi na baridi hiyo kali na kuwaasa watu kuchukua tahadhari,baridi hii ina uwezo wa kuifunika nyumba au kuzuia milango kutofunguka kabisa,magari kuteleza au kushindwa kuwaka kabisa ikiwemo na ndege kushindwa na shughuli zake za kawaida kwa kushindwa kuruka na kutua ktk viwanja vilivyo na barafu nene.
Majimbo yatakayokumbwa na adha hii ya baridi kali iliyopewa jina la (kimbuka baridi stella) ni yale majimbo ya kaskazini mashariki mwa marekani pwani ya bahari ya atlantiki,kwasasa hali ya hewa ya mji wa newyork ni 32f sawa na nyuzi 0 sentigredi ikiwa ni baridi kali kabisa,hii ni aina ya mvua zinanyesha huko kwa kuanguka barafu.


0 Comments "NEW YORK,NEW JERSEY NA MICHIGAN KUKUMBWA NA KIMBUNGA CHA BARIDI KALI"