
Kabla ya mwili wa marehemu kuzikwa utapelekwa kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa mwalimu Julius Kambarage(JNICC) kwa ajili ya kuagwa rasmi na viongozi na watu mbalimbali wa kiserikali na taasisi mbalimbali kabla ya kuelekea ktk kanisa la mtakatifu petro(St.Peters) saa 05:30 am asubuhi kwa ajili ya ibada.
Miongoni mwa viongozi watakaohudhuria mazishi haya ni Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh.John Pombe Magufuli,kbla ya hapo viongozi kama waziri wa ardhi na makazi William lukuvi,aliyekuwa spika wa bunge Anna makinda,Rais wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete,Steven wasira,Makamu wa Bi.Samia Hassan Suluhu.
0 Comments "MAGUFULI KUHUDHURIA MAZISHI YA SIR GEORGE KAHAMA"