Waziri mkuu mstaafu Ndugu Joseph Sinde Warioba amezungumzia juu ya baa la njaa linaloinyemelea Tanzania kutokana na viashiria vya ukame vinavyojitokeza ktk mataifa ya jirani na afrika kwa ujumla kama ya kenya,somalia,nigeria,sudan kusini.
Nchi hizi za afrika zimeshatangazwa na umoja wa mataifa kuwa ziko ktk baa la njaa kutokana na ukosefu wa mvua unaosababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa ktk dunia,kitengo cha Humatarian ktk umoja wa mataifa imeataja nchi hizi nne hasa ya Yemen kuwa ziko ktk baa la njaa kubwa kuwahi kutokea zaidi ya miaka 70 iliyopita.
Baadhi ya nchi kama za Yemen,sudani kusini,syria njaa hii kubwa pia inachangiwa kuwepo kwa vita na migogoro inayoendelea kupiganwa mapaka sasa na kufanya watu kushindwa kufanya shughuli za kila siku za kawaida za kiuchumi.
Sehemu kubwa za raia wa mataifa haya wamekumbwa na baa la njaa na kusababisha vifo na watoto wengi kushindwa kwenda shule kutokana na njaa kali iliyokumba nchi hizi.
Ndugu warioba aliyekuwa mgenbi rasmi siku y wanawake ktk taasisi aliwaambia kuwa kuna mambo lazima taifa tuchukue hatua za haraka kunusuru hali hii ya njaa kwani si mara ya kwanza kutokea hivyo serikali lazima iwe makini kuanza kutatua shida hizi mapema kabla halijafika pabaya.
Kwasasa bei za vyakula kama unga wa mahindi kilo zaidi ya 2200,mchele 2100,maharagwe 2600 na kuzingatia kuwa hivyio ndio vyakula vikuu kwa watanzania,kupanda kwa bei kwa vyakula hivi ni sawa na kuwepo kwa uhaba wa vyakula nchini.
Rais Magufuli ambae amekuwa akisisitiza watu kila siku wajitahidi kulima kwa guvu zao zote hasa kwa sehemu za mikoa yote inayoendelea kupata mvua za kutosha hadi kusababisha mazara kwa mali na watu,kwa kufanya kai hasa za kilimo ndio kitu pekee kinachoweza kuwaepusha wao kutofikwa na njaa.
Rais Magufuli amesisitiza sana kuwa serikali haina shamba kwa ajili ya kuwapa raia chakula cha bure hivyo watu wanatakiwa kufanya kazi zaidi na kutumia mvua hizi zinazonyesha ktk sehemu kubwa ya nchi kulima na kupanda mazao ya kutosha na sio kusubiri msaada wa serikali kila siku.

0 Comments "WARIOBA AMSHIKA SHARUBU JPM SWALA LA NJAA"