Rais wa zanzibar amenukuliwa akizungumza akiwa uwanja wa ndege kutokea nchini indonesia "kama itatokea kuwa tanzania bara watatokea kutukatia umeme zanzibar basi wao wako tayari kwa kutumia taa za koroboi" ila yeye haamini kama kweli watanzania bara watakata umeme huo kwa zanzibar ila ikitokea basi wao wataubaliana na maamuzi hayo.
Kauli hii iliyotolewa na Rais wa zanzibar inakuja baada ya kuibuka mjadala kuhusu shirika la umeme la Tanzania (TANESCO) kuwa ktk hali ngumu kiuchumi au kifedha kwa kutokana na pesa nyingi kama madeni kuwa nje hasa kwa taasisi za serikali,baadhi ya wateja binafsi na deni kubwa zaidi wanaidai serikali ya mapinduzi ya zanzibar.
Zaidi ya bilioni 125 zinadaiwa na Tanesco kwa taasisi za serikali bilioni 40,zanzibar Zeco bilioni 85 na kufanya shirika kuteteleka kiuchumi na kushindwa kujiendesha lenyewe japo linapokea ruzuku kila bajeti ya mwaka.
Kwa miaka mingi sana visiwa vya unguja na pemba vimekuwa vikitumia umeme uliopita chini ya bahari kutoka Tanzania bara sehemu za mkoa wa Tanga,hivyo kuwa tegemezi kwa miaka mingi na kuathirika endapo kutatokea jambo lolote lile kwa Upande wa Tanzania Bara.
Dk Mohammed Shein amesema kuwa deni hilo la bilioni 85 ni deni la siku nyingi wamekuwa wakidaiwa na serikali ya Tanzania bara hivyo hafikirii kwa hali hiyo kuwa watazimiwa umeme.

0 Comments "RAIS SHEIN:BARA WAKITUKATIA UMEME TUTAWASHA KOROBOI ZETU"