UINGEREZA YATOA SARAFU MPYA YA POUND MOJA

Himaya ya malkia wa uingereza Elizabeth wa 2 imeamua kutoa sarafu mpya ya pesa ya poundi moja yenye thamani sna pesa ya kitanzania shilingi 2802 kwa kuiweka pesa hiyo ktk usalama zaidi wa kuigwa na waharifu wa kughushi pesa duniani.
 Pesa hiyo mpya ya chuma itaanza kutumika rasmi ifikapo oktoba 15 2017,pesa hii itakayokuwa na sura ya malkia elizabeth kwa mbele na alama nyingi zilizojificha na kufanya kuwa ngumu kuigwa kabisa.

Mabadiliko haya yanafuatia uamuzi wa uingerza kujitoa kutoka umoja wa ulaya ambapo ilikuwa ikitumia zaidi pesa za umoja huo za EURO kuliko pesa zao za POUND.

Pesa hii ya Pound ndio pesa ya pili yenye thamani ya juu  zaidi baada ile ya euro.




Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "UINGEREZA YATOA SARAFU MPYA YA POUND MOJA"

Back To Top