Visiwa vya New zealand vilivyopo ktk bahari ya Pasifiki vikiwa ktk himaya ya Uingereza wiki hii vinaendelea kukubwa ba balaa la mvua nyingi zinazoambatana na radi,pepo na ngurumo kali zinazoendelea kuharibu mali na miundombinu mbalimbali ndani ya nchi hiyo.Kimbunga hicho kinachosafiri zaidi ya kilomita 270 kwa saa kimeilazimisha mamlaka ya hali ya hewa ya nchi hiyo kutangaza hali ya hatari na kuomba baadhi ya wananchi wanaoishi ktk majimbo hatarishi kuyahama makzi yao kwamda kuepusha vifo zaidi.

0 Comments "NEW ZEALAND YAFAGIWA NA KIMBUMBA KIKALI KIITWACHO DEBBIE"