Hayawi hayawi sasa yamekuwa,hatimae mwanasheria wa kujitegemea na mbunge ameibuka kidedea kuwa Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika baada ya kuapata kura 1411 kati ya kura 1682 za wanasheria hao.Tundu lissu amemshinda mshindi wa pilu Bi.Victoria mwandadi kwa asilimia 88% ya kura zote.
Mwanasheria huyu na mbunge alijikuta ktk wakati mgumu siku za hivi karibuni baada ya kukamatwa mara kwa mara na kuwekwa rumande kwa kwa makosa mablimbali ya kuongea maneno ya uchochezi zanzibar na kutoa kauli mbalimbali kwa raisi.
Tundu lissu ataongoza chama hicho kwa mwaka 2017-2018 hadi utakapofanyika uchaguzi mwingine.

0 Comments "TUNDU LISSU AIBUKA KIDEDEA CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA (TLS)"