
Chuck Berry alizaliwa october 18 1926 St. louis missouri marekani na kuafariki jana Machi 18 2017,mwanamuziki huyu alijulikana kwa kucheza na kuimba kwa mbwembwe nyingi anapokuwa jukwaani na kuvutia sana waangaliaji wa matamasha ya muziki wake.
Licha ya kujua kimba,kucheza pia aliweza kupiga gitaa na kutumia vyombo mbalimbali vya mziki huku akiwa anacheza,Charles alioa mke wake wa kwanza mwaka 1948 aliyefahamika kama Themetta Toddy suggs.
Baadhi ya nyimbo zake maaaruf ni kama zile za You can never tell,MyDing a Li na Johnnie b. goode.
Charles aliwahi kuacha ujumbe ktk ukurasa wake wa facebook akisema "ikiwa siku moja dunia itaamua kubadlisha jina la mziki wa Rock and roll basi wauite "Chuck beryy" ikiwa ni jina lake la utani.
0 Comments "MKONGWE WA MZIKI WA (ROCK AND ROLL) CHUCK BERRY AFARIKI "