
Kashfa hizi zilizohusisha wizara na mashirika ya upelelezi ya FBI na CIA kwa kuchunguza kwa mda mrefu maisha na maongezi yote ya kiongozi huyo wa ujerumani,hali hii ilileta tofauti kuba na kufanya kuvurugika kwa urafiki wa kidiplomasia baina ya nchi hizi mbili.
Ilibainika kwa mda mrefu simu ya Bi.angela markel ilikuwa ikichunguzwa na wanausalama wa marekani na kufanya udukuzi wa taarifa nyeti za kiongozi huyu.
Baada ya kuingia kwa kiongozi huyu mpya Bw.Donald Trump ujerumani inakusudia kurudisha urafiki wa zamani baina yao kwa wao wote kutembeleana ktk mataifa yao.
Wakiwa ktk nyumba nyeupe(white house) baada ya maongezi na makubaliano mbalimbali Bi.angela markel alimuomba Trump kushikana mikono kama ishara ya maridhiano baina yao,Angela markel alirudia kauli yake ya kumtaka Trump kushikana mikono hata hivyo Trump hakuonekana kujali.
Hatua hii iliwashangaza watu walikuwepo karibu yao kwa kuona hakufanyan wala kustuka kufanya alichoambiwa kufanya,kwani jambo aliloombwa lilisikika na kila mtu aliyekuwa jirani nao.
Watu wengi wanazania labda bwana trump alikuwa bize sana na waamndishi wa habari hivyo hakusikia kauli hiyo ya ombi la Bi Angela Markel.
kuangalia video ya kituko hiko tazama hapa
https://youtu.be/89fl5wO17ZQ
0 Comments "TRUMP AKATAA KUSHIKANA MIKONO NA ANGELA MARKEL"