Kijana ambaye bado hajatambulika vizri ameuawa na polisi kwa kupigwa risasi mara nne nbaada ya kujaribu kupora bunduki kwa polisi na kuktaka kukimbia nayo,ukio ilo limetokea uwanja wa ndege wa Orly sud uliopo mjini paris nchini ufaransa.
Uwanja huo mkubwa ambao unahudumia zaidi ya watu 3000 kwa siku umekumbwa na kadhia hiyo kwa kijana huyo mwenye kuonekana ni miongoni mwa vikundi vya kigaidi vya itaikadi kali vinaendelea kuisumbua ufaransa kwa kufanya vitendo vyakihalifu na mauaji kwa watu na maafisa usalama ktk maeneo yao ya kazi kama viwanja vya ndege na maeneo yote ya mikusanyiko ya watu.
Polisi wengine waliokuwepo eneo hilo waliamua kujihami kwa kumpiga risasi kijana huyo kabla ya kutoweka au kuleta madhara kwa watu walikuwepo uwanjani hapo.

0 Comments "KIJANA ALIYEMPORA BUNDUKI POLISI AUAWA PARIS"